絵のない絵本『Chemchemi ya Ajabu(スワヒリ語訳)』
”Chemchemi ya Ajabu” スワヒリ語訳:歳三
00kwanza
このお話は、
文字が読めない、読めるけど得意でないケニア人の子のため、
紙芝居用で作ったものです。おちは途上国の人目線です。
(絵を描いてくれる人があの時、いてくれたらなぁ。)
そのためここは、ケニアの国語、スワヒリ語で書かれています
日本語のものは題名『女神の泉~ What do you want ?』として、掲載してあります
もしケニアに行かれることがありましたら、どうぞよしなに。
1
Hapo kale ,
kulikuwa chemchemi ya ajabu
chemchemi n/nクラス n. 泉
2
Siku moja,
maskini alifanya kazi karibu na chechemi ya ajabu.
Wakati ule, Panga yake ilianguka katika chemchemi hii.
maskini m/waクラス n. 貧乏な人
3
Maskini akifadhaika, Mungu alitoka kutoka chemchemi.
fadhaika v. 困る
4
Halafu, Mungu aliuliza,
”Umeangua panga ya chuma au panga ya dhahabu ?”
chuma ki/vi n. 鉄
dhahabu n/n n. 金
5
Maskini alijibu,
"Nimeangua panga ya chuma."
6
Mungu alitabasamu, akasema,
”Wewe ni mkweli.
Nitakupa panga ya dhahabu, kwa sababu wewe ni mkweli.”
tabasamu v. ほほえむ。
mkweli/wakweli m/wa n. 正直な人
7
Halafu, Mungu niliwapa panga ya dhahabu.
Mungu ambaye alikuwa na panga ya chuma alirudi katika chemchemi.
8
Maskini alijaribu kuendelea kufanya kazi
kwa panga aliyopata kutoka Mungu.
Lakini, panga ya dhahabu ilikuwa iororo kuliko panga ya chuma,
halafu, hakuweza kuendekea kufanya kazi.
9
Halafu, Maskini alifikiri kurudisya panda ya dhahabu kwa Mungu,
kutaka kupata panga yake.
Maskini aliangua panga ya dhahabu karika chemchemi,
halafu, Mungu alitoka kutoka chemchemi.
rudisha v. rudiの使役 返却する
10
Halafu, Mungu aliuliza,
”Umeangua panga ya chuma au panga ya dhahabu ?”
11
Maskini alijibu,
"Nimeangua panga ya chuma."
12
Mungu alikasiri kidogo, akasema,
”Wewe ni mzushi.
Sitakupa panga , kwa sababu wewe ni mzushi.”
kasiri v. 怒る
mzushi/wazushi m/wa n. 嘘つき
13
Mungu ambaye alikuwa na panga ya chuma na panga ya dhahabu
alirudi katika chemchemi.
00Misho
Kwa nini Mungu alikasiri kidogo?
Unafikiriaje?
・
・
・
いつもご愛読ありがとうございます。
今後もご贔屓のほど、よろしくお願いいたします。